Kutokana na hatua hiyo, benki hiyo imeahidi kuweka mkono wake kusaidia ujenzi wa reli hiyo muhimu kwa kukuza biashara na ukuaji wa uchumi wa nchi. Mkurugenzi wa WB Kanda ya Afrika anayesimamia ...
Katika maelezo yake, Gambo amesema umoja huo katika uongozi uliopita walikabidhiwa pia pikipiki 200 ambapo kila Kata ilipata Pikipiki nane za mikopo na ushahidi wa mikopo hiyo na marejesho ya fedha ...
Van Dijk ni miongoni mwa mastaa wa Liverpool ambao mikataba yao inamalizika mwisho wa msimu huu pamoja na Mohamed Salah na Trent Alexander-Arnold. Hata hivyo, kabla ya hapo, mwezi ujao, watatu hao ...
Makabiliano kati ya vikosi vya serikali mpya na wafuasi wa utawala ulioangushwa yamesababisha vifo vya askari polisi 14 wa serikali mpya na watatu wa utawala wa zamani. Maafisa 14 wa polisi wa ...
Nchini Mali, watu watatu kutoka vuguvugu la Movement for Peace in Mali (MPPM), pia wanachama wa chama cha kisiasa cha Sadi, wanazuiliwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, licha ya uamuzi wa ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amechukizwa na taarifa za mauaji ya wafanyakazi watatu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP nchini Sudan. Msemaji wa Umoja ...
Waendesha mashtaka wanaharakisha uchunguzi wao. Kabla ya Park, walimkamata aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Kim Yong-hyun na makamanda wengine watatu wa jeshi waliohusika katika vitendo vilivyohusiana ...
Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama ‘Twende Kidijitali’ ili kutoa suluhisho la changamoto za kifedha. Kampeni hiyo iliyozinduliwa leo Desemba 18,2024 inalenga kuboresha ...
Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Seneti ya Benki ya Marekani, Seneta Tim Scott, amefichua kuwa Sheria ya Ubunifu wa Fedha na Teknolojia kwa Karne ya 21 (FIT21) na muswada wa Stablecoin itakuwa vituo ...
AI ni sarafu ya pande mbili kwa benki: wakati inafungua uwezekano mwingi wa utendakazi bora zaidi, inaweza pia kusababisha hatari za nje na za ndani. Wahalifu wa kifedha wanatumia teknolojia kuzalisha ...