Kutokana na hatua hiyo, benki hiyo imeahidi kuweka mkono wake kusaidia ujenzi wa reli hiyo muhimu kwa kukuza biashara na ukuaji wa uchumi wa nchi. Mkurugenzi wa WB Kanda ya Afrika anayesimamia ...
Dk. Kikwete alitoa pongezi hizo mwisho wa wiki wakati akizindua rasmi Kituo cha Afya cha kisasa cha Kizimkazi kilichopo Wilaya ya Kusini, Unguja, Zanzibar kilichojengwa kwa ushirikiano baina ya ...