“Wasanii sisi tupo wengi sana lakini kilio chetu kazi zetu haziuziki, na utakuta anayenunua ndio anayesambaza sasa je tutaposema wasanii mauzo madogo unafikiri ataipeleka hiyo mjini hatoipeleka,” ...
Nilipomuuliza Mahmoud mwenye umri wa miaka 13 kuhusu matamanio yake ghafla aliangua kilio akibubujikwa na machozi. "Nataka kuwa gavana wa jimbo ili niwe na mamlaka na kujenga upya nyumba ...
Dar es Salaam, Kuna kijana mwenzetu alipata shida sana wakati ule tukiwa shuleni. Yeye hakuwahi kukasirika wala kugombana na mtu, bali alitumia muda mrefu kusikiliza stori na kucheka hata kama stori ...
500. Kwa siku moja mgonjwa wa kifafa anatumia Sh. 6,500. "Kilio changu kwa Rais wetu, Samia Suluhu Hassan atuangalie kwa jicho la pekee, watoto wanaoishi na kifafa usalama wao ni dawa na chakula," ...