Gazeti la Daily Monitor limeripoti kuwa Sheikh Abdul Noor Kakande, ambaye ni kadhi wa ukanda huo (jaji wa kiislamu), amesema kuwa tukio hilo ni la kushangaza sana na halikubaliki, hivyo imam ...
Tangu wakati huo, amevuma kama mwanamitindo na hata picha zake zikachapishwa katika jarida la V Magazine. "Ni mabadiliko makubwa zaidi mema yaliyowahi kutokea katika maisha yangu," aliambia BBC.