Tukio la kutekwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alipokuwa ziarani nchini Kenya karibu wiki mbili ...
MZEE wetu Profesa Palamaganda Aidan Kabudi ndiye bosi mpya wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo baada ya uteuzi ...
Kesi ya madai ya kupatikana akiwa na silaha, akiwa jijini Nairobi, nchini Kenya, inayomkabili kiongozi mkongwe wa upinzani ...
Mohammed al-Bashir ambaye ni mkuu wa zamani wa utawala wa waasi kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo, alikuwa akizungumza na ...
Rais wa Kenya William Ruto amesema siku ya Jumamosi yeye na Rais wa Uganda Yoweri Museveni watasaidia kupatanisha Ethiopia na ...
MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Anatropia Theonest ameibuka mshindi wa riadha kwa wanawake katika mashindano ya mabunge ...
HAKUNA habari za ushiriki wa Simba wala Yanga kwenye michuano ya Mapinduzi Cup msimu huu na waandaaji wametoa sababu zao za ...
Benki ya Uganda inaonyesha zaidi kuwa katika mwaka ulioishia Juni 2024, Uganda ilitumia zaidi ya Sh4.66 trilioni kuagiza bidhaa kutoka Tanzania, zaidi ya mara tatu ya zaidi ya Sh1.18 ...
Novemba 05, Mwaka huu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko alieleza kuwa uzalishaji wa umeme uliounganishwa ...
MWANASIASA mkongwe wa Uganda Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake, Obeid Lutale wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi mjini ...
Rais wa Kenya William Ruto amesema hii leo kwamba yeye na Rais wa Uganda Yoweri Museveni watasaidia kupatanisha mzozo kati ya ...
RAIS wa Kenya, William Ruto, hivi karibuni amekabidhiwa kiti cha kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ...