Kila mtu ni mstaafu mtarajiwa anayepaswa kuyafanyia kazi yanayomhusu yeye na wastaafu wenzake anaowaona leo watakaokuwa ...
Hiyo ni sawa na wafanyabiashara jirani; mmoja anauza vitumbua, mwingine viazi vya kuchemsha, huyu wa viazi ataachana na viazi vyake na kuamua kujadili vitumbua vya mwenzake huku akilalamikia sukari na ...