Dodoma. Kutokana na baa la njaa katika miaka ya 1974 hadi 1975, Watanzania walilazimika kula ugali uliotokana na mahindi ya njano kutoka Marekani. Ukapewa jina ugali wa yanga. Ugali wa yanga ni moja ...